Yona 1:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Ndipo wale watu wakamwogopa BWANA mno, wakamtolea BWANA sadaka, na kuweka nadhiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mabaharia hao wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu, wakamtolea sadaka na kuweka nadhiri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mabaharia hao wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu, wakamtolea sadaka na kuweka nadhiri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mabaharia hao wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu, wakamtolea sadaka na kuweka nadhiri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Katika jambo hili watu wakamwogopa Mwenyezi Mungu sana, wakamtolea Mwenyezi Mungu dhabihu na kumwekea nadhiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Katika jambo hili watu wakamwogopa bwana sana, wakamtolea bwana dhabihu na kumwekea nadhiri. Tazama sura |