Yona 1:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Basi wakamkamata Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari ikaacha kuchafuka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Basi, wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, na papo hapo bahari ikatulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Basi, wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, na papo hapo bahari ikatulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Basi, wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, na papo hapo bahari ikatulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kisha wakamchukua Yona, wakamtupa baharini, nayo bahari iliyokuwa imechafuka ikatulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kisha walimchukua Yona, wakamtupa baharini nayo bahari iliyokuwa imechafuka ikatulia. Tazama sura |