Yohana 8:58 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC58 Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Kabla ya Abrahamu kuwako, mimi niko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema58 Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, kabla Abrahamu hajazaliwa, mimi niko.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND58 Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, kabla Abrahamu hajazaliwa, mimi niko.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza58 Yesu akawaambia, “Kweli nawaambieni, kabla Abrahamu hajazaliwa, mimi niko.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu58 Isa akawaambia, “Amin, amin nawaambia, kabla Ibrahimu hajakuwa, Mimi niko.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu58 Isa akawaambia, “Amin, amin nawaambia, kabla Ibrahimu hajakuwako, ‘Mimi niko.’ ” Tazama sura |