Yohana 8:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake kama hawa; nawe wasemaje? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Katika sheria yetu Mose alituamuru mwanamke kama huyu apigwe mawe. Basi, wewe wasemaje?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Katika sheria, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, hadi wafe. Sasa wewe wasemaje?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Katika sheria, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake wa namna hii, mpaka wafe. Sasa wewe wasemaje?” Tazama sura |