Yohana 7:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC50 Akawaambia Nikodemo, (naye ni yule aliyemwendea zamani, maana ni mmoja wao), Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Mmoja wao alikuwa Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu. Basi, yeye akawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Mmoja wao alikuwa Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu. Basi, yeye akawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Mmoja wao alikuwa Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu. Basi, yeye akawaambia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Ndipo Nikodemo, yule aliyekuwa amemwendea Isa siku moja usiku, na alikuwa mmoja wao, akauliza, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Ndipo Nikodemo, yule aliyekuwa amemwendea Isa siku moja usiku, ambaye alikuwa mmoja wao akauliza, Tazama sura |