Yohana 7:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC38 Aniaminiye mimi, kama vile maandiko yalivyonena, mito ya maji yaliyo hai itatoka ndani yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: ‘Anayeniamini mimi, mito ya maji ya uhai itatiririka kutoka moyoni mwake!’” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: ‘Anayeniamini mimi, mito ya maji ya uhai itatiririka kutoka moyoni mwake!’” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: ‘Anayeniamini mimi, mito ya maji ya uhai itatiririka kutoka moyoni mwake!’” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Yeyote aniaminiye mimi, kama Maandiko yanavyosema, vijito vya maji ya uzima vitatiririka kutoka ndani yake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Yeyote aniaminiye mimi, kama Maandiko yasemavyo, vijito vya maji ya uzima vitatiririka ndani mwake.” Tazama sura |