Yohana 7:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 Na watu wengi katika mkutano wakamwamini; wakasema, Atakapokuja Kristo, je! Atafanya ishara nyingi zaidi kuliko hizi alizozifanya huyu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Wengi katika ule umati wa watu walimwamini, wakasema, “Je, Kristo akija atafanya ishara kubwa zaidi kuliko alizozifanya huyu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Wengi katika ule umati wa watu walimwamini, wakasema, “Je, Kristo akija atafanya ishara kubwa zaidi kuliko alizozifanya huyu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Wengi katika ule umati wa watu walimwamini, wakasema, “Je, Kristo akija atafanya ishara kubwa zaidi kuliko alizozifanya huyu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Nao watu wengi wakamwamini, wakasema, “Je, Al-Masihi atakapokuja, atafanya miujiza mikuu kuliko aliyoifanya mtu huyu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Nao watu wengi wakamwamini, wakasema, “Je, Al-Masihi atakapokuja, atafanya miujiza mikuu zaidi kuliko aliyoifanya mtu huyu?” Tazama sura |