Yohana 7:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Yesu akajibu, akawaambia, Mimi nilitenda kazi moja, nanyi nyote mnaistaajabia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Yesu akawajibu, “Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Yesu akawajibu, “Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Yesu akawajibu, “Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Isa akawajibu, “Nimefanya muujiza mmoja na nyote mkastaajabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Isa akawajibu, “Nimefanya muujiza mmoja na nyote mkastaajabu. Tazama sura |