Yohana 7:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Mkutano wakajibu, Ama! Una pepo! Ni nani anayetafuta kukuua? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Hapo watu wakamjibu, “Una pepo wewe! Nani anataka kukuua?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Hapo watu wakamjibu, “Una pepo wewe! Nani anataka kukuua?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Hapo watu wakamjibu, “Una pepo wewe! Nani anataka kukuua?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Ule umati wa watu wakamjibu, “Wewe una pepo mchafu! Ni nani anayetaka kukuua?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Ule umati wa watu ukamjibu, “Wewe una pepo mchafu! Ni nani anayetaka kukuua?” Tazama sura |