Yohana 6:59 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC59 Maneno hayo aliyasema katika sinagogi, alipokuwa akifundisha, huko Kapernaumu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema59 Yesu alisema hayo alipokuwa akifundisha katika sunagogi kule Kafarnaumu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND59 Yesu alisema hayo alipokuwa akifundisha katika sunagogi kule Kafarnaumu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza59 Yesu alisema hayo alipokuwa akifundisha katika sunagogi kule Kafarnaumu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu59 Isa alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika sinagogi huko Kapernaumu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu59 Isa alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika sinagogi huko Kapernaumu. Tazama sura |