Yohana 6:54 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC54 Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema54 Anayekula mwili wangu na kunywa damu yangu anao uhai wa milele, nami nitamfufua siku ya mwisho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND54 Anayekula mwili wangu na kunywa damu yangu anao uhai wa milele, nami nitamfufua siku ya mwisho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza54 Anayekula mwili wangu na kunywa damu yangu anao uhai wa milele, nami nitamfufua siku ya mwisho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu54 Mtu yeyote aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele. Nami nitamfufua siku ya mwisho. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu54 Mtu yeyote aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, anao uzima wa milele. Nami nitamfufua siku ya mwisho. Tazama sura |