Yohana 6:52 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC52 Basi Wayahudi walishindana wao kwa wao wakisema, Awezaje mtu huyu kutupa sisi mwili wake ili tuule? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 Ndipo Wayahudi wakaanza kubishana kati yao: “Anawezaje huyu kutupa mwili wake, tule?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 Ndipo Wayahudi wakaanza kubishana kati yao: “Anawezaje huyu kutupa mwili wake, tule?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 Ndipo Wayahudi wakaanza kubishana kati yao: “Anawezaje huyu kutupa mwili wake, tule?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 Ndipo Wayahudi wakaanza kuhojiana vikali wao kwa wao wakisema, “Mtu huyu awezaje kutupatia mwili wake tuule?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 Ndipo Wayahudi wakaanza kuhojiana vikali wao kwa wao wakisema, “Mtu huyu awezaje kutupatia mwili wake tuule?” Tazama sura |