Yohana 6:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Basi wakamwambia, Tufanyeje ili tupate kuzitenda kazi za Mungu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Wao wakamwuliza, “Tufanye nini ili tuweze kuzitenda kazi za Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Wao wakamwuliza, “Tufanye nini ili tuweze kuzitenda kazi za Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Wao wakamwuliza, “Tufanye nini ili tuweze kuzitenda kazi za Mungu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ndipo wakamuuliza, “Tufanye nini ili tupate kuitenda kazi ya Mungu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ndipo wakamuuliza, “Tufanye nini ili tupate kuitenda kazi ya Mungu?” Tazama sura |