Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 4:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Yesu akajibu, akamwambia, Kila anywaye maji haya ataona kiu tena;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Yesu akamjibu, “Kila anayekunywa maji haya ataona kiu tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Yesu akamjibu, “Kila anayekunywa maji haya ataona kiu tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Yesu akamjibu, “Kila anayekunywa maji haya ataona kiu tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Isa akamjibu, “Kila mtu anayekunywa maji ya kisima hiki ataona kiu tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Isa akamjibu, “Kila mtu anayekunywa maji ya kisima hiki, ataona kiu tena.

Tazama sura Nakili




Yohana 4:13
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akalia, akasema, Ee baba Abrahamu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, aupoze ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu.


Je! Wewe u mkubwa kuliko baba yetu, Yakobo, aliyetupa kisima hiki, naye mwenyewe akanywa maji yake, na wanawe pia, na wanyama wake?


lakini yeyote atakayekunywa maji yale nitakayompa mimi hataona kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujikia uzima wa milele.


Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele; ambacho Mwana wa Adamu atawapa, kwa sababu huyo ndiye aliyetiwa mhuri na Baba, yaani, Mungu.


Baba zenu waliila mana jangwani; wakafa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo