Yohana 3:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Amwaminiye Mwana ana uzima wa milele; asiyemwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Anayemwamini Mwana anao uhai wa milele; asiyemwamini Mwana hatakuwa na uhai wa milele, bali ghadhabu ya Mungu hubaki juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Anayemwamini Mwana anao uhai wa milele; asiyemwamini Mwana hatakuwa na uhai wa milele, bali ghadhabu ya Mungu hubaki juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Anayemwamini Mwana anao uhai wa milele; asiyemwamini Mwana hatakuwa na uhai wa milele, bali ghadhabu ya Mungu hubaki juu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Yeyote anayemwamini Mwana ana uzima wa milele, lakini yeye asiyemwamini Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mungu itakuwa juu yake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Yeyote anayemwamini Mwana ana uzima wa milele, lakini yeye asiyemwamini Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mwenyezi Mungu itakuwa juu yake.” Tazama sura |