Yohana 3:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Maana Yohana alikuwa hajatiwa gerezani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 (Wakati huo Yohane alikuwa bado hajafungwa gerezani.) Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 (Wakati huo Yohane alikuwa bado hajafungwa gerezani.) Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 (Wakati huo Yohane alikuwa bado hajafungwa gerezani.) Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 (Hii ilikuwa kabla Yahya hajafungwa gerezani.) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 (Hii ilikuwa kabla Yahya hajatiwa gerezani). Tazama sura |