Yohana 20:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Basi Petro akatoka, na yule mwanafunzi mwingine, wakashika njia kwenda kaburini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Petro pamoja na yule mwanafunzi mwingine wakaenda kaburini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Petro pamoja na yule mwanafunzi mwingine wakaenda kaburini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Petro pamoja na yule mwanafunzi mwingine wakaenda kaburini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Petro na yule mwanafunzi mwingine wakaondoka mara moja kuelekea kaburini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Petro na yule mwanafunzi mwingine wakaondoka mara kuelekea kaburini. Tazama sura |