Yohana 2:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaliza mpaka juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Isa akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi hadi juu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Isa akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi mpaka juu. Tazama sura |