Yohana 2:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Yesu akamwambia, Mama, tuna nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yesu akamjibu, “Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yesu akamjibu, “Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yesu akamjibu, “Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Isa akamwambia, “Mama, kwa nini unanihusisha? Saa yangu haijawadia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Isa akamwambia, “Mwanamke, nina nini nawe? Saa yangu haijawadia.” Tazama sura |