Yohana 2:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya; naye mama yake Yesu alikuwapo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Siku ya tatu kulikuwa na arusi katika mji wa Kana ya Galilaya, naye mama yake Isa alikuwepo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Siku ya tatu kulikuwa na arusi katika mji wa Kana ya Galilaya, naye mama yake Isa alikuwepo pale. Tazama sura |