Yohana 18:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 Basi wakapiga kelele tena kusema, Si huyu, bali Baraba. Naye yule Baraba alikuwa mnyang'anyi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Hapo wakapiga kelele: “La! Si huyu ila Baraba!” Naye Baraba alikuwa mnyanganyi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Hapo wakapiga kelele: “La! Si huyu ila Baraba!” Naye Baraba alikuwa mnyanganyi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Hapo wakapiga kelele: “La! Si huyu ila Baraba!” Naye Baraba alikuwa mnyang'anyi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Wao wakapiga kelele, wakajibu, “Si huyu mtu, bali tufungulie Baraba!” Yule Baraba alikuwa mnyang’anyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Wao wakapiga kelele wakisema, “Si huyu mtu, bali tufungulie Baraba!” Yule Baraba alikuwa mnyang’anyi. Tazama sura |