Yohana 18:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Basi Yesu, huku akijua yote yatakayompata, akatokea, akawaambia, Ni nani mnayemtafuta? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yesu, hali akijua yote yatakayompata, akatokea, akawauliza, “Mnamtafuta nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yesu, hali akijua yote yatakayompata, akatokea, akawauliza, “Mnamtafuta nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yesu, hali akijua yote yatakayompata, akatokea, akawauliza, “Mnamtafuta nani?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Isa, akijua yale yote yatakayompata, akajitokeza mbele yao, akawauliza, “Mnamtafuta nani?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Isa akijua yale yote yatakayompata, akajitokeza mbele yao akawauliza, “Mnamtafuta nani?” Tazama sura |