Yohana 18:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Ili litimie lile neno lake Yesu alilolisema, akionesha ni mauti gani atakayokufa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Ilifanyika hivyo yapate kutimia maneno aliyosema Yesu kuonesha atakufa kifo gani.) Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Ilifanyika hivyo yapate kutimia maneno aliyosema Yesu kuonesha atakufa kifo gani.) Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Ilifanyika hivyo yapate kutimia maneno aliyosema Yesu kuonesha atakufa kifo gani.) Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Walisema hivyo ili yale maneno aliyosema Isa kuhusu kifo atakachokufa yapate kutimia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Walisema hivyo ili yale maneno aliyosema Isa kuhusu kifo atakachokufa yapate kutimia. Tazama sura |