Yohana 18:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Basi Pilato akawatokea nje, akasema, Ni mashitaka gani mnayoleta juu ya mtu huyu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Kwa hiyo, Pilato aliwaendea nje, akasema, “Mna mashtaka gani juu ya mtu huyu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Kwa hiyo, Pilato aliwaendea nje, akasema, “Mna mashtaka gani juu ya mtu huyu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Kwa hiyo, Pilato aliwaendea nje, akasema, “Mna mashtaka gani juu ya mtu huyu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Hivyo Pilato akatoka nje walikokuwa, akawauliza, “Mmeleta mashtaka gani kumhusu mtu huyu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Hivyo Pilato akatoka nje walikokuwa akawauliza, “Mmeleta mashtaka gani kumhusu mtu huyu?” Tazama sura |