Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 18:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Ya nini kuniuliza mimi? Waulize wale waliosikia ni nini niliyowaambia; wao wanajua niliyoyanena.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Kwa nini waniuliza mimi? Waulize wale waliosikia nini niliwaambia. Wao wanajua niliyowaambia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Mbona unaniuliza mimi maswali? Waulize wale waliosikia yale niliyowaambia. Wanajua niliyoyasema.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Mbona unaniuliza mimi maswali? Waulize wale walionisikia yale niliyowaambia. Wao wanajua niliyosema.”

Tazama sura Nakili




Yohana 18:21
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kama wewe ndiwe Kristo, tuambie. Akawaambia, Nikiwaambia, hamtasadikia.


Yesu akamjibu, Mimi nimesema na ulimwengu waziwazi; sikuzote nilifundisha katika sinagogi na katika hekalu, wakusanyikapo Wayahudi wote; wala mimi sikusema neno lolote kwa siri.


Basi aliposema hayo, mtumishi mmojawapo aliyesimama karibu alimpiga Yesu kofi akisema, Wamjibu hivi Kuhani Mkuu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo