Yohana 17:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Na uhai wa milele ndio huu: Kukujua wewe uliye peke yako Mungu wa kweli, na kumjua Yesu Kristo uliyemtuma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Na uhai wa milele ndio huu: Kukujua wewe uliye peke yako Mungu wa kweli, na kumjua Yesu Kristo uliyemtuma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Na uhai wa milele ndio huu: kukujua wewe uliye peke yako Mungu wa kweli, na kumjua Yesu Kristo uliyemtuma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Nao uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe uliye Mungu wa pekee wa kweli, na Isa Al-Masihi uliyemtuma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Nao uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe uliye Mwenyezi Mungu wa pekee wa kweli, na Isa Al-Masihi uliyemtuma. Tazama sura |