Yohana 16:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Na siku ile mtaomba kwa jina langu, wala siwaambii ya kwamba mimi nitawaombea kwa Baba; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Siku hiyo mtaomba kwa jina langu, na siwaambii kwamba nitamwomba Baba kwa niaba yenu; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Siku hiyo mtaomba kwa jina langu, na siwaambii kwamba nitamwomba Baba kwa niaba yenu; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Siku hiyo mtaomba kwa jina langu, na siwaambii kwamba nitamwomba Baba kwa niaba yenu; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Siku hiyo mtaomba kwa Jina langu. Wala sitawaambia kwamba nitamwomba Baba kwa ajili yenu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Siku hiyo mtaomba kwa Jina langu. Wala sitawaambia kwamba nitamwomba Baba kwa ajili yenu, Tazama sura |