Yohana 15:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nyinyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi. Tazama sura |