Yohana 15:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Nanyi pia mnashuhudia, kwa kuwa tangu mwanzo mmekuwapo pamoja nami. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Nanyi pia mtanishuhudia kwa kuwa mmekuwa nami tangu mwanzo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Nanyi pia mtanishuhudia kwa kuwa mmekuwa nami tangu mwanzo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Nanyi pia mtanishuhudia kwa kuwa mmekuwa nami tangu mwanzo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Ninyi nanyi itawapasa kushuhudia kwa sababu mmekuwa pamoja nami tangu mwanzo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Ninyi nanyi itawapasa kushuhudia kwa sababu mmekuwa pamoja nami tangu mwanzo. Tazama sura |