Yohana 14:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Na sasa nimewaambia kabla halijatokea, ili litakapotokea mpate kuamini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Nimewaambieni haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea mpate kuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Nimewaambieni haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea mpate kuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Nimewaambieni haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea mpate kuamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Nimewaambia mambo haya kabla hayajatukia, ili yatakapotukia mpate kuamini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Nimewaambia mambo haya kabla hayajatukia, ili yatakapotukia mpate kuamini. Tazama sura |