Yohana 13:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Simoni Petro akamwambia, Bwana, unakwenda wapi? Yesu akamjibu, Niendako huwezi kunifuata sasa; lakini utanifuata baadaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Simoni Petro akamwuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Yesu akajibu, “Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Simoni Petro akamuuliza, “Bwana, unaenda wapi?” Isa akamjibu, “Ninakoenda huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Simoni Petro akamuuliza, “Bwana, unakwenda wapi?” Isa akamjibu, “Ninakokwenda huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye.” Tazama sura |