Yohana 13:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Amin, amin, nawaambieni, Yeye ampokeaye mtu yeyote nimtumaye, anipokea mimi; naye anipokeaye mimi; ampokea yeye aliyenituma. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kweli nawaambieni: Anayempokea yule ninayemtuma ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, anampokea yule aliyenituma.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kweli nawaambieni: Anayempokea yule ninayemtuma ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, anampokea yule aliyenituma.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kweli nawaambieni: anayempokea yule ninayemtuma ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, anampokea yule aliyenituma.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Amin, amin nawaambia, yeyote anayempokea yule niliyemtuma anipokea mimi, naye anipokeaye mimi ampokea yeye aliyenituma mimi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Amin, amin nawaambia, yeyote anayempokea yule niliyemtuma anipokea mimi, naye anipokeaye mimi ampokea yeye aliyenituma mimi.” Tazama sura |