Yohana 12:38 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC38 ili litimie lile neno la nabii Isaya alilolisema, Bwana, ni nani aliyezisadiki habari zetu; Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia: “Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu? Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia: “Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu? Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia: “Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu? Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: “Mwenyezi Mungu, ni nani aliyeamini ujumbe wetu, na mkono wa Mwenyezi Mungu umefunuliwa kwa nani?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: “Bwana Mwenyezi Mungu, ni nani aliyeamini ujumbe wetu, na mkono wa Bwana Mwenyezi umefunuliwa kwa nani?” Tazama sura |