Yohana 11:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Yesu akasema, “Ondoeni hilo jiwe!” Martha, dada yake huyo aliyekufa, akamwambia, “Bwana, amekwisha anza kunuka; amekaa kaburini siku nne!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Yesu akasema, “Ondoeni hilo jiwe!” Martha, dada yake huyo aliyekufa, akamwambia, “Bwana, amekwisha anza kunuka; amekaa kaburini siku nne!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Yesu akasema, “Ondoeni hilo jiwe!” Martha, dada yake huyo aliyekufa, akamwambia, “Bwana, amekwisha anza kunuka; amekaa kaburini siku nne!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Isa akasema, “Liondoeni jiwe.” Martha dada yake yule aliyekuwa amekufa akasema, “Lakini Bwana, wakati huu atakuwa ananuka kwani amekwisha kuwa kaburini siku nne.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Isa akasema, “Liondoeni hilo jiwe.” Martha, ndugu yake yule aliyekuwa amekufa, akasema, “Lakini Bwana Isa, wakati huu atakuwa ananuka kwani amekwisha kuwa kaburini siku nne.” Tazama sura |