Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Yohana 11:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

29 Naye aliposikia, aliondoka upesi, akamwendea.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Naye aliposikia hivyo, akainuka mara, akamwendea Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Naye aliposikia hivyo, akainuka mara, akamwendea Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Naye aliposikia hivyo, akainuka mara, akamwendea Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Mariamu aliposikia hivyo, akaondoka upesi, akaenda hadi alipokuwa Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Maria aliposikia hivyo, akaondoka upesi akaenda mpaka alipokuwa Isa.

Tazama sura Nakili




Yohana 11:29
7 Marejeleo ya Msalaba  

Uliposema, “Nitafuteni uso wangu,” Moyo wangu umekuambia, BWANA, uso wako nitautafuta.


Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!


Chuma hunoa chuma; Ndivyo mtu aunoavyo uso wa rafiki yake.


Naye alipokwisha kusema hayo, alikwenda zake; akamwita umbu lake Mariamu faraghani, akisema, Mwalimu yupo anakuita.


Na Yesu alikuwa hajafika ndani ya kijiji; lakini alikuwa angalipo pale pale alipomlaki Martha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo