Yohana 11:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa, atakuwa anaishi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Yesu akamwambia, “Mimi ndimi ufufuo na uhai. Anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Yesu akamwambia, “Mimi ndimi ufufuo na uhai. Anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Yesu akamwambia, “Mimi ndimi ufufuo na uhai. Anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Isa akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Isa akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi Tazama sura |