Yohana 10:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Mithali hiyo Yesu aliwaambia, lakini wao hawakuelewa mambo hayo aliyowaambia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Yesu aliwaambia mfano huo, lakini wao hawakuelewa alichotaka kuwaambia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Yesu aliwaambia mfano huo, lakini wao hawakuelewa alichotaka kuwaambia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Yesu aliwaambia mfano huo, lakini wao hawakuelewa alichotaka kuwaambia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Isa alitumia mfano huu, lakini wao hawakuelewa hayo aliyokuwa akiwaambia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Isa alitumia mfano huu, lakini wao hawakuelewa hayo aliyokuwa akiwaambia. Tazama sura |