Yohana 10:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Yesu akawajibu, “Je, haikuandikwa katika sheria yenu: ‘Mimi nimesema, nyinyi ni miungu?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Yesu akawajibu, “Je, haikuandikwa katika sheria yenu: ‘Mimi nimesema, nyinyi ni miungu?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Yesu akawajibu, “Je, haikuandikwa katika sheria yenu: ‘Mimi nimesema, nyinyi ni miungu?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Isa akawajibu, “Je, haikuandikwa katika Torati yenu kwamba, ‘Nimesema kuwa ninyi ni “miungu”’? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Isa akawajibu, “Je, haikuandikwa katika Torati ya kwamba, ‘Nimesema kuwa, ninyi ni miungu?’ Tazama sura |