Yohana 10:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Kukawa na utengano tena kati ya Wayahudi, kwa ajili ya maneno hayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Kukawa tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Kukawa tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Kukawa tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Waliposikia maneno haya, Wayahudi wakagawanyika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kwa maneno haya Wayahudi waligawanyika. Tazama sura |