Yohana 1:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini wale waliompokea, wale waliomwamini, aliwapa uwezo wa kuwa watoto wa Mungu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini wale waliompokea, wale waliomwamini, aliwapa uwezo wa kuwa watoto wa Mungu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini wale waliompokea, wale waliomwamini, aliwapa uwezo wa kuwa watoto wa Mungu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Bali wote waliompokea, yaani wale walioliamini jina lake, aliwapa uwezo wa kufanyika wana wa Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Bali wote waliompokea, aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake. Tazama sura |