Yoeli 3:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 tena watoto wa Yuda na watoto wa Yerusalemu mmewauzia Wagiriki, mpate kuwahamisha mbali na nchi yao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mmewapeleka watu wa Yuda na Yerusalemu mbali na nchi yao, mkawauza kwa Wagiriki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mmewapeleka watu wa Yuda na Yerusalemu mbali na nchi yao, mkawauza kwa Wagiriki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mmewapeleka watu wa Yuda na Yerusalemu mbali na nchi yao, mkawauza kwa Wagiriki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mliwauza watu wa Yuda na Yerusalemu kwa Wayunani, ili mpate kuwapeleka mbali na nchi yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mliwauza watu wa Yuda na Yerusalemu kwa Wayunani, ili kwamba mpate kuwapeleka mbali na nchi yao. Tazama sura |