Yoeli 3:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Naye BWANA atanguruma toka Sayuni, atatoa sauti yake toka Yerusalemu; na mbingu na nchi zitatetemeka; lakini BWANA atakuwa kimbilio la watu wake, na ngome ya wana wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mwenyezi-Mungu ananguruma huko Siyoni; sauti yake inavuma kutoka Yerusalemu; mbingu na dunia vinatetemeka. Lakini Mwenyezi-Mungu ni kimbilio la watu wake, ni ngome ya usalama kwa Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mwenyezi-Mungu ananguruma huko Siyoni; sauti yake inavuma kutoka Yerusalemu; mbingu na dunia vinatetemeka. Lakini Mwenyezi-Mungu ni kimbilio la watu wake, ni ngome ya usalama kwa Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mwenyezi-Mungu ananguruma huko Siyoni; sauti yake inavuma kutoka Yerusalemu; mbingu na dunia vinatetemeka. Lakini Mwenyezi-Mungu ni kimbilio la watu wake, ni ngome ya usalama kwa Waisraeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mwenyezi Mungu atanguruma kutoka Sayuni na mshindo wa ngurumo kutoka Yerusalemu; dunia na mbingu vitatikisika. Lakini Mwenyezi Mungu atakuwa kimbilio la watu wake, ngome imara kwa ajili ya watu wa Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 bwana atanguruma kutoka Sayuni na mshindo wa ngurumo kutoka Yerusalemu; dunia na mbingu vitatikisika. Lakini bwana atakuwa kimbilio la watu wake, ngome imara kwa ajili ya watu wa Israeli. Tazama sura |