Yoeli 3:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Umati mkubwa, umati mkubwa, wamo katika bonde la kukata kauli! Kwa maana siku ya BWANA i karibu, katika bonde la kukata kauli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Wanafika makundi kwa makundi kwenye bonde la Hukumu, maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Wanafika makundi kwa makundi kwenye bonde la Hukumu, maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Wanafika makundi kwa makundi kwenye bonde la Hukumu, maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Umati mkubwa, umati mkubwa katika bonde la uamuzi! Kwa kuwa siku ya Mwenyezi Mungu ni karibu katika bonde la uamuzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Umati mkubwa, umati mkubwa katika bonde la uamuzi! Kwa kuwa siku ya bwana ni karibu katika bonde la uamuzi. Tazama sura |