Yoeli 2:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Hapo ndipo BWANA alipoona wivu kwa ajili ya nchi yake, akawahurumia watu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Ndipo Mwenyezi-Mungu akaipenda nchi yake akawahurumia watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ndipo Mwenyezi-Mungu akaipenda nchi yake akawahurumia watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ndipo Mwenyezi-Mungu akaipenda nchi yake akawahurumia watu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kisha Mwenyezi Mungu atakuwa na wivu kwa ajili ya nchi yake na kuwa na huruma juu ya watu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kisha bwana atakuwa na wivu kwa ajili ya nchi yake na kuwa na huruma juu ya watu wake. Tazama sura |