Yoeli 2:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 naye BWANA anatoa sauti yake mbele ya jeshi lake; maana matuo yake ni makubwa sana; kwa maana yeye ni hodari atekelezaye neno lake; kwa kuwa siku ya BWANA ni kuu, yenye kitisho sana; naye ni nani awezaye kuistahimili? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mwenyezi-Mungu anaamuru jeshi lake kwa sauti; askari wake ni wengi mno, wanaomtii hawahesabiki. 2Siku ya Mwenyezi-Mungu kweli ni kuu na ya kutisha sana! Nani atakayeweza kuistahimili? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mwenyezi-Mungu anaamuru jeshi lake kwa sauti; askari wake ni wengi mno, wanaomtii hawahesabiki. 2Siku ya Mwenyezi-Mungu kweli ni kuu na ya kutisha sana! Nani atakayeweza kuistahimili? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mwenyezi-Mungu anaamuru jeshi lake kwa sauti; askari wake ni wengi mno, wanaomtii hawahesabiki. Siku ya Mwenyezi-Mungu kweli ni kuu na ya kutisha sana! Nani atakayeweza kuistahimili? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Mwenyezi Mungu anatoa mshindo wa ngurumo mbele ya jeshi lake; majeshi yake hayana idadi, ni wenye nguvu nyingi wale ambao hutii agizo lake. Siku ya Mwenyezi Mungu ni kuu, ni ya kutisha. Ni nani anayeweza kuistahimili? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 bwana anatoa mshindo wa ngurumo mbele ya jeshi lake; majeshi yake hayana idadi, ni wenye nguvu nyingi wale ambao hutii agizo lake. Siku ya bwana ni kuu, ni ya kutisha. Ni nani anayeweza kuistahimili? Tazama sura |