Yoeli 1:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji Zimekatiliwa mbali na nyumba ya BWANA; Hao makuhani, wahudumu wa BWANA, wanaomboleza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Sadaka za nafaka na kinywaji zimetoweka nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu. Makuhani, wahudumu wa Mwenyezi-Mungu, wanaomboleza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Sadaka za nafaka na kinywaji zimetoweka nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu. Makuhani, wahudumu wa Mwenyezi-Mungu, wanaomboleza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Sadaka za nafaka na kinywaji zimetoweka nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu. Makuhani, wahudumu wa Mwenyezi-Mungu, wanaomboleza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji zimekatiliwa mbali kutoka nyumba ya Mwenyezi Mungu. Makuhani wanaomboleza, wale wanaohudumu mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji zimekatiliwa mbali kutoka nyumba ya bwana. Makuhani wanaomboleza, wale wanaohudumu mbele za bwana. Tazama sura |