Yobu 9:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Aiondoaye milima, nayo haina habari, Akiipindua katika hasira zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Yeye huiondoa milima bila yenyewe kutambua, huibomolea mbali kwa hasira yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Yeye huiondoa milima bila yenyewe kutambua, huibomolea mbali kwa hasira yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Yeye huiondoa milima bila yenyewe kutambua, huibomolea mbali kwa hasira yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Aiondoa milima bila yenyewe kujua na kuipindua kwa hasira yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Aiondoa milima bila yenyewe kujua na kuipindua kwa hasira yake. Tazama sura |