Yobu 9:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Yeye ni mwenye hekima moyoni, na mwenye uwezo katika nguvu; Ni nani aliyejifanya kuwa mgumu juu yake, naye akafanikiwa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yeye ni mwenye hekima mno na nguvu nyingi, nani aliyepingana naye, akashinda? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yeye ni mwenye hekima mno na nguvu nyingi, nani aliyepingana naye, akashinda? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yeye ni mwenye hekima mno na nguvu nyingi, nani aliyepingana naye, akashinda? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. Ni nani aliyempinga naye akawa salama? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. Ni nani aliyempinga naye akawa salama? Tazama sura |