Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yobu 9:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

35 Hapo Ndipo ningeweza kusema, pasipo kumwogopa; Maana najua sivyo nilivyo nafsini mwangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Hapo ningeweza kusema bila kumwogopa; kwani sivyo nilivyo nafsini mwangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Hapo ningeweza kusema bila kumwogopa; kwani sivyo nilivyo nafsini mwangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Hapo ningeweza kusema bila kumwogopa; kwani sivyo nilivyo nafsini mwangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Ndipo ningenena naye, bila kumwogopa, lakini kama ilivyo kwangu sasa, sitaweza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Ndipo ningenena naye, bila kumwogopa, lakini kama ilivyo kwangu sasa, sitaweza.

Tazama sura Nakili

Yobu 9:35
2 Marejeleo ya Msalaba  

Nayachukia maisha yangu; Nitayasema malalamiko yangu wazi; Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.

Basi uite wakati huo, nami nitaitika; Au, niache ninene mimi, nawe unijibu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo