Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 9:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Nikisema, Mimi nitasahau kuugua kwangu, Nitaacha kununa uso nikachangamke moyo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Nasema: ‘Nitasahau lalamiko langu, niondoe uso wangu wa huzuni na kuwa na furaha!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Nasema: ‘Nitasahau lalamiko langu, niondoe uso wangu wa huzuni na kuwa na furaha!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Nasema: ‘Nitasahau lalamiko langu, niondoe uso wangu wa huzuni na kuwa na furaha!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Nikisema, ‘Nitayasahau malalamiko yangu, nitabadili sura ya uso wangu na kutabasamu,’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Kama nikisema, ‘Nitayasahau malalamiko yangu, nitabadili sura ya uso wangu na kutabasamu,’

Tazama sura Nakili




Yobu 9:27
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nijapokuwa nanena, huzuni yangu haitulizwi; Nijapokuwa najizuia, nimepunguziwa kitu gani?


Kwa hiyo sitakizuia kinywa changu; Nitanena kwa mateso ya roho yangu; Nitalia kwa uchungu wa nafsi yangu.


Hapo nisemapo, kitanda changu kitanituliza moyo, Malazi yangu yatanipunguzia kuugua kwangu;


Unisikilize na kunijibu, Nimetangatanga nikilalama na kuugua.


Laiti ningeweza kujifariji, nisione huzuni! Moyo wangu umezimia ndani yangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo